
LEO NI LEO ITAFAHAMIKA UWANJA WA AZAM COMPLEX
ZOTE mbili ni za moto kwa sasa kwa kuwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita na kujiwekea pointi tatu kibindoni. Ni Azam FC iliyotoka kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Ilulu na Yanga iliyotoka kushinda mabao 2-0 dhidi ya KMC Leo wana kazi ya kusaka pointi tatu muhimu kwenye…