
SIMBA ROBO FAINALI KUKIPIGA NA ORLANDO PIRATES
BAADA ya kutinga hatua ya robo fainali Simba imepangwa kukutana na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu,Pablo Franco ina kibarua cha kuanza kusaka ushindi Uwanja wa Mkapa, Aprili 17 mchezo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kete ya mwisho itakayoamua Simba kutinga hatua ya nusu fainali itakuwa ni Aprili 24,Uwanja wa…