
KAMPUNI YA MERIDIANBET TANZANIA YATOAMKONO WA POLE
Ni desturi ya kampuni ya Meridianbet kurudisha kwa jamii inayoizunguka. Katika kuendeleza utamaduni huu, Meridianbet inaungana na familia ya Bi. Zainabu Mohamed ambaye anasumbuliwa na tatizo la kansa. Bi. Zainabu ambaye ni mkazi wa Buza, Dar es Salaam, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa takribani miaka 2 tatizo ambalo linamfanya ashindwe kukaa au kusimama na…