
ORODHA YA MASTAA 14 WATAKAOPIGWA PANGA YANGA
MASTAA 14 ndani ya kikosi cha Yanga, wapo kwenye hesabu za kufyekwa kwa ajili ya kukiboresha kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa 2022/23. Msemaji wa Yanga, Haji Manara, alisema kuwa usajili wa msimu ujao utakuwa ni mkubwa na wenye kuzingatia ripoti ya benchi la ufundi. “Tuna malengo makubwa na tunajua wapi ambapo tulishindwa msimu huu…