
KLOPP ANAAMINI WATAREJEA WAKIWA BORA MSIMU UJAO
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa timu hiyo itarejea kwa kishindo kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao na kuweza kutwaa taji hilo. Liverpool ilikuwa inapewa nafasi kubwa ya kutwaa taji hilo ila ilipoteza kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Real Madrid kwa kufungwa bao 1-0 jijini Paris. Licha ya kufungwa kwenye fainali…