
YANGA KUSAJILI MAJEMBE MANNE
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wamepanga kuongeza wachezaji wanne ama watatu wa kimataifa kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23. Manara ameweka wazi kuwa kuna baadhi ya nyota kadhaa wanaocheza soka katika Ligi ya Afrika Magharibi, Ligi ya Afrika Kusini, Ligi ya Angola na nyota wa Kimataifa aliyewahi kucheza soka la kulipwa…