
MKOMBOZI WA SIMBA KWENYE MAJUKUMU MAZITO
SIMBA iliyo chini ya Kocha Msaidizi Seleman Matola imemtambulisha rasmi nyota Moses Phiri ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Zanaco. Huu unakuwa ni usajili wa kwanza kwa Simba ambao msimu huu wamepoteza kila taji amalo lilikuwa mkononi mwao. Ni dili la miaka miwili nyota huyo amepewa ambapo anamajukumu ya kuweza kufanya kazi ya kutibu…