
MAKOCHA WAIGOMBEA SIMBA, CV ZA KUTOSHA ZATUMWA MSIMBAZI
MARA baada ya Simba SC kutangaza kuachana na kocha, Pablo Franco Martin, tayari baadhi ya makocha wameanza kuomba nafasi ya kufanya kazi ndani ya timu hiyo. Taarifa ambazo Spoti Xtra limezipata ni kwamba, kocha wa kwanza kutuma wasifu wake akiomba mikoba ya Pablo kikosini hapo ni Brandon Truter raia wa Afrika Kusini. Juzi Jumanne, Simba…