
BANDA AINGIA ANGA ZA YANGA
UONGOZI wa Yanga baada ya kuona uwezekano mdogo wa kumpata mshambuliaji Moses Phiri, sasa umehamia kwa mshambuliaji Ricky Banda mwenye uraia wa Zambia anayekipiga Red Arrows. Hapo awali Yanga ilikuwa ikihusishwa kwa karibu katika usajili wa mshambuliaji wa Zesco, Moses Phiri ambaye kwa sasa ni wazi ana asilimia kubwa ya kujiunga na Simba. Katika suala…