


KOCHA WA AL AHLY YA MISRI ABWAGA MANYANGA
KLABU ya Al Ahly ya Misri imefikia makubaliano ya kuachana na Pitso Mosimane ambaye alikuwa ni Kocha Mkuu wa timu hiyo ya Misri. Hatua hiyo ya kuachana na Al Ahly ni maamuzi ya Pitso mwenyewe baada ya kikao na bodi ya wakurugenzi ya Klabu ya Al Ahly ambayo ni moja ya timu kubwa na bora…

PUMZIKA KWA AMANI DAMIANO KOLA MZAZI WA RODGERS WA AZAM
JANA Juni 12,2022 ilikuwa ni safari ya mwisho duniani ya baba mzazi wa mashambuliaji wa Azam FC, Rodgers Kola aitwaye Damiano Kola Senior. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu, mahala pema peponi. Amen. Taarifa ya kutangulia kwa haki kwa mzazi huyo wa Kola ilitolewa na Azam FC Juni 10,2022. Msimu huu mshambuliaji huyo amekuwa kwenye ubora wake…

FARID MUSSA AONGEZA DILI JIPYA YANGA
FARID Mussa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga ameweza kuongeza kandarasi mpya kuendelea kuitumikia timu hiyo. Leo Juni 13,2022 Yanga wameachia picha ya nyota huyo akiwa na Injinia Hersi Said na kusindikiza na maneno haya:”Kiraka Farid Mussa bado yupoyupo sana,”. Kiraka huyo bado yupoyupo ndani ya Yanga baada ya kuongeza dili jingine la…

SIMBA YAPATA TUZO,YAWAPOTEZA YANGA
LEO Juni13,2022 Klabu ya Simba imeweza kupewa tuzo yake baada ya kuwapoteza wapinzani wao wa jadi Yanga kwenye mchakato wa kura. Ni Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Mbali na watani zao wa jadi Yanga pia Simba imeweza kuwashinda kwa kura Azam FC, Mbeya City, Ruvu…

YANGA KUMENYANA NA COASTAL UNION USIKU
MCHEZO wa Yanga v Coastal Union unatarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa timu zote mbili kuweza kuingia uwanjani kusaka pointi tatu. Ikiwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ikishinda mchezo huo basi inakuwa imeweza kujihakikishia lengo la kutwaa ubingwa wa ligi. Vinara hao wa ligi kwa sasa wana pointi 64 kama wakishinda watafikisha…

RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO LEO
LEO Juni 13 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea baada ya mapumziko kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu Afcon 2023 zinazotarajiwa kufanyika nchini Ivory Coast. Ni mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa leo ikiwa ni mzunguko wa pili na wa kufungia hesabu kwa msimu wa 2021/22. Mtibwa Sugar itawakaribisha Ruvu Shooting itakuwa ni Uwanja wa Manungu. Mchezo…

GLOBAL FC YATOSHANA NGUVU NA BONGO MOVIES
TIMU ghali Bongo ya Global FC inayomilikiwa na Kampuni ya Global Group iliweza kuonyesha ubabe wake mbele ya timu ya Bongo Movie kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Shule ya Msingi Muhimbili jana. Kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili ulichezwa mchezo mkubwa ambapo Global FC walianza kupata bao la…

MCHONGO MZIMA WA AZIZ KI UMECHORWA NAMNA HII
SAKATA la usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso, Stephen Aziz Ki, limezidi kuteka hisia za wapenda soka wengi hapa nchini, baada ya vigogo Simba SC na Yanga SC kuhusishwa naye. Kiungo huyo anayetumia zaidi mguu wa kushoto awapo uwanjani, inaelezwa kwamba tayari amemalizana na Yanga ambayo imetumia kiasi cha shilingi milioni 650 kumpa…

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu

TEN HAG NA MTEGO WA USAJILI MAN U
DIRISHA la usajili limefunguliwa rasmi tangu, Juni 10, mwaka huu na litafungwa Septemba Mosi mwaka huu ikiwa ni wakati muhimu hasa kwetu kama Manchester United kwa kuhakikisha tunafanya maboresho. Jana Manchester United ilithibitisha rasmi kuachana na nyota wake 11 huku nje ya hao kuna wengine pia wanaweza kuondoka kikosini hapo. Katika nyota ambao imethibitisha kuachana…

DARWIN NUNEZ NI SUALA LA MUDA TU, KARIBU ANFIELD TORRES MPYA
MPAKA sasa majina ambayo yanatajwa huenda wanahusika kusajiliwa ndani ya Liverpool ni Darwin Nunez, Christopher Nkunku, Jude Bellingham, Pablo Gavi, Cristopher Ramsey na wengine wengi. Hii imekuwa kawaida kwa timu kubwa barani Ulaya na bora kama Liverpool kutopoa katika masuala ya usajili haswa katika kipindi kama hiki. Nguvu ya ushawishi tunayo, mafanikio makubwa Ulaya tunayo,…

YANGA YADAIWA KUMSAJILI KAMBOLE WA KEIZER CHIEF
Klabu Yanga imeripotiwa kushinda mbio za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Keizer Chiefs Lazarous Kambole (28) kwa mkataba wa miezi 6 wenye chaguo la nyongeza ya miaka miwili. Yanga SC imeipiku klabu ya Zesco United katika mbio za mshambuliaji huyo raia wa Zambia ambaye amefunga magoli mawili tu katika mechi 46 kwa kipindi cha miaka…

ARTETA AHOFIA KUMKOSA JESUS… HABARI MBAYA KWA MASHABIKI WA ARSENAL
LONDON, England BOSI wa Arsenal, Mikel Arteta, amekasirishwa na kitendo cha klabu hiyo kuonekana kusuasua katika maamuzi ya usajili, huku akiwa na hofu huenda akamkosa Gabriel Jesus ambaye ni muhimu kwake. Arteta alitumia pauni 150m katika usajili uliopita akimsajili Ben White, Aaron Ramsdale na Martin Odegaard. Kuelekea msimu ujao wa 2022/23, Arsenal inajipanga kuona inaimarisha…

MASTAA HAWA 11 WANASEPA NDANI YA MANCHESTER UNITED
KLABU ya Manchester United, imethibitisha kuondoka kwa nyota wake 11, kati ya hao yupo Paul Pogba na Jesse Lingard. Wachezaji hao wanaondoka kwa sababu tofauti ikiwemo mikataba yao kumalizika na wengine kustaafu kucheza soka. Edinson Cavani, Paul Pogba, Nemanja Matic, Jesse Lingard na Juan Mata, wanaondoka baada ya mikataba yao kumalizika. Kipa Lee Grant, yeye…

KOCHA KAIZER CHIEFS AMALIZANA NA SIMBA
BAADA ya kufanya mazungumzo mazito na mabosi wa Simba SC, inaelezwa kwamba kocha wa zamani wa Kaizer Chiefs, Stuart Baxter, wamefikia makubaliano mazuri, lakini ameomba kwanza kurejea kwao Uingereza. Kocha huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini na England U19, juzi alifanya mazungumzo na mabosi wa Simba kwa ajili ya kukamilisha dili…
