
SIMBA YAFUNGUKIA KUMREJESHA LUIS
BAADA ya tetesi nyingi kuzagaa za kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Luis Miquissone raia wa Msumbiji kurejea katika timu hiyo, uongozi wa Simba SC umeibuka na kufungukia ishu nzima. Luis alijiunga na Al Ahly Agosti 26, 2021 kwa mkataba wa miaka minne akitokea Simba baada ya kucheza kwa takribani msimu mmoja na nusu kuanzia…