
MSOLLA OUT YANGA, ENG HERSI ABAKI PEKE YAKE URAIS YANGA …MAJINA HAYA HAPA
MCHAKATO wa uchaguzi ndani ya Klabu ya Yanga, umezidi kushika kasi ambapo jana Jumamosi orodha ya majina ya wagombea yaliwekwa wazi kwa waliopitishwa na wasiopitishwa. Upande wa wagombea nafasi ya urais, jina la Injinia Hersi Ally Said limebaki peke yake, huku makamu wa rais wakiwa ni Arafat Haji na Suma Mwaitenda. Kwa upande wa wajumbe,…