Pengine unaweza kudhani mashindano ya mwaka huu ni kama yamesusiwa na wachezaji, mataifa makubwa yanaanguka viwanjani. Mkeka wako wa UEFA Nations League umetusua au umechanika? Hizi hapa Odds bora wikiendi hii;
Ni marudio ya fainali ya Kombe la Dunia 2018, Ufaransa uso kwa uso na Croatia. Mchongo upo hivi, toka walipocheza fainali 2018, viwango vya mataifa yote mawili vimebadilika sana. Huku ni kwenye mashindano ya Ulaya, lolote linaweza kutokea. Dau lako unaliweka kwa nani? Odds ya 1.51 ipo kwa Ufaransa.
Maliza mashindano ya kubashiri kwenye mchezo wa wababe, Ujerumani vs Italia. Unakumbuka enzi za Hitler na Mussolin? Ni vita ya falsafa ambayo imeendelea kudumu mpaka kwenye soka ndani na nje ya uwanja kwa mataifa haya. Sio rahisi kubashiri matokeo ya mchezo huu lakini, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.76 kwa Ujerumani.
Bashiri Kistaarabu. Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18.