
RATIBA NI PASUA KICHWA KWA NABI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasredine Mohammed Nabi amelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kutokana na ratiba yao ya Ligi kuwabana wachezaji kiasi cha kukosa muda wa kutosha wa kupumzika. Nabi raia wa Tunisia ambaye ameiongoza Yanga kutwaa mataji matatu msimu uliyopita amesema hayo mara baada ya kurejea Kambini, Avic Town ambako…