
GEITA GOLD WASHUSHA MASHINE MPYA NNE
KLABU ya Geita Gold imetangaza kumsajili mlinzi Shawn Oduro raia wa Ghana kwa mkataba wa miaka miwili na kufanya iwe imeshusha mashine mpya za kazi nne. Hizo ni jitihada za kukifanyia marekebisho kikosi hicho kwa ajili ya mikikimikiki ya ligi na mashindano ya CAF. Geita Gold inayonolewa na Kocha Mkuu,Felix Minziro itashiriki mashindano ya kimataifa…