MOLOKO,NGUSHI WAREJEA KUIVAA AZAM FC
CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa kuna wachezaji ambao wamerudi kwenye kikosi baada ya kuwa nje kwa muda kutokana na kutibu majeraha. Kesho Yanga inatarajiwa kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC ambao nao pia waazihitaji pointi hizo. Kaze amesema:”Wapo baadhi ya wachezaji walikuwa nje kutokana na majeruhi lakini kwa sasa wameanza mazoezi…