TOTTENHAM YASHINDA 5G,YATINGA 4 BORA
TOTTENHAM Hotspur imeishushia kichapo cha mabao 5-1 Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu England. Mchezo huo umechezwa usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Tottenham Hotspur mbele ya mashabiki 57,553. Mabao ya Ben Davies dk 43,Matt Doherty dk 48,Heung-min Son dk 54,Emerson Leite de Souza Junior dk 63,Steven Bergwijn dk 83 ambaye alianzia benchi…