
MKE WA GAEL BIGIRIMANA HUYU HAPA MZUNGU
NYOTA Gael Bigirimana ameoa mke mzungu huyu hapa namna alivyoweza kumpata
NYOTA Gael Bigirimana ameoa mke mzungu huyu hapa namna alivyoweza kumpata
KIKOSI cha Yanga kipo kwenye maandalizi ya mchezo wao wa ligi ujao dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Septemba 6,2022 Uwanja wa Mkapa. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ambaye ameongoza kwenye mechi mbili za ligi bila kuonja ladha ya kupoteza. Ilikuwa mchezo wake dhidi ya Polisi Tanzania iliposhinda mabao 2-1 na mchezo…
WAKIWA Uwanja wa Anfield, Liverpool walipindua meza kwa kuwa walifungwa bao la mapema na Alexander Isak dakika ya 38 nyota wa Newcastel United. kipindi cha pili mabao ya Roberto Firmino dakika ya 61 na bao la ushindi lilifungwa na Fabio Carvalho dakika ya 90+8 na kuwafanya wabaki na pointi zote tatu muhimu. Ushindi huo unaifanya…
BAADA ya kumaliza kazi kwenye mechi mbili za kirafiki ambazo walialikwa nchini Sudan na Klabu ya Al Hilal, kikosi cha Simba leo Septemba Mosi kinatarajiwa kurejea Dar. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Zoran Maki iliweza kupata matokeo kwenye mchezo mmoja chanya na mwingine waliweza kupata matokeo hasi. Kwenye mchezo wa kwanza walipata ushindi wa…
SHABIKI mkubwa wa Simba maarufu kwa jina la mzee Muchachu amefungukia juu ya Kocha Mkuu wa Simba, Zoran Maki pamoja na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars
RASMI Geita Gold FC imemtambulisha nyota wao mpya Said Ntibanzokiza kuwa ni mali yao kwa msimu wa 2022/23. Anaibuka ndani ya Geita Gold akiwa ni mchezaji huru baada ya dili lake na Yanga kugota ukingoni mwishoni mwa msimu wa 2021/22. Taarifa rasmi iliyotolewa na Geita Gold imeeleza kuwa ni dili la mwaka mmoja amesaini nyota…
AZAM FC kwa sasa ipo chimbo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 6,2022, timu hiyo imewafuta kazi makocha wao ikiwa ni Moallin Abdi aliyekuwa kocha mkuu na kuwa chini ya kocha wa makipa kwa muda huku Jembe akitaja tatizo la timu hiyo lilipo
MWANDISHI Mkongwe wa masuala ya michezo Bongo, Saleh Jembe amebainisha sababu za Kim Polusen kufutwa kwenye benchi la ufundi wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars
TUISILA Kisinda kiungo wa spidi amesajiliwa Yanga huku habari zikieleza kuwa Simba dili lao la kuiasa saini ya Manzoki limekwama
KIKOSI cha Simba kimepoteza mchezo wake wa pili wa kirafiki kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Al Hilal. Mchezo wa leo ni wa pili kwa Simba kucheza ikiwa nchini Sudan ambapo ilialikwa kwenye mashindano maalumu yaliyoandaliwa na Klabu ya Al Hilal. Katika mchezo wa kwanza Simba ilishinda mabao 4-2 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana….
TUISILA Kisinda amerejea kwa mara nyingine ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Klabu ya RS Berkane. Nyota huyo raia wa DR Congo anasifika kwa soka la spidi na kuwa mmoja ya viungo ambao wana kasi kubwa wawapo uwanjani. Anakumbukwa namna alivyokuwa akiwapa tabu wapinzani wake alipokuwa ndani ya Yanga ikiwa ni pamoja na kumsababisha penalti…
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema mchezo wa leo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Al Hilal ya Sudan ni muhimu kwao kuzidi kupata ushindi. Mchezo wa leo unakuwa ni wapili baada ya ule wa awali kushinda mabao 4-2 dhidi ya Asante Kotoko na nyota wa mchezo akiwa ni Clatous Chama aliyefunga mabao mawili….
NYOTA Cristiano Ronaldo anaweza kutua ndani ya Klabu ya Napoli kabla ya usajili kufungwa kesho Septemba Mosi. Wakala maarufu duniani, Jorge Mendes anapambana kuhakikisha staa huyo anayetaka kuondoka Manchester United anapata changamoto mpya. Taarifa zimeeleza kuwa dili lake la kujiunga na Napoli litahusisha kubadilisha baadhi ya wachezaji. Cr 7 mwenye Ballon d’Or tano aliwaambia viongozi…
Leo tuna stori ya ushindi, ya mshindi wa Meridianbet, ambaye amebutua kwenye mchezo wa Aviator zaidi ya milioni 60 wiki hii. Stori hii itakufundisha kuwa uhindi mkubwa wa kasino ya Meridianbet unaweza kuwa wako wakati wowote, umakini na maamuzi ya kujaribu yanaweza kukusogeza karibu na ushindi. Mshindi wa Aviator, kwa utambulisho wake wa DM…
Meridianbet kama ilivyo desturi na utamaduni wao wamekuwa wakijitahidi kushirikiana na jamii na kusaidia makundi yenye uhitaji na yanayokumbwa na changamoto mbalimbali. Jana Meridianbet waliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya wanaopambana kuachana na matumizi ya madawa hayo chini ya taasisi ya Pillimissana Foundation huko Kigamboni. Taasisi hiyo imeanzishwa takribani miaka kumi iliyopita, ikijishughulisha na watu…
ZORAN awa mbogo Simba, Mayele atafunga sana CAF ndani ya Championi Ijumaa
CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa atabadili mbinu kuelekea mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC. Kocha huyo amekiongoza kikosi hicho kwenye mechi mbili na kushinda zote ugenini. IlikuwaPolisi Tanzania 1-2 Yanga na Coastal Union 0-2 Yanga zote zilichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Mchezo ujao utakuwa ni wa kwanza kwa Nabi kuingoza…