
VIDEO: HII HAPA MBINU YA DODOMA JIJI KUIMALIZA SIMBA KWA MKAPA
KOCHA msaidizi wa Dodoma Jiji, Mohamed ameweka wazi kuwa watatumia mechi zilizopita za Simba kuikabili timu hiyo kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji
KOCHA msaidizi wa Dodoma Jiji, Mohamed ameweka wazi kuwa watatumia mechi zilizopita za Simba kuikabili timu hiyo kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji
CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga ameweka wazi kuwa kweye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika hawadharau wapinzani wao na badala yake wanahitaji ushindi dakika za mwanzo. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi inakibarua cha kusaka ushindi Ligi ya Mabingwa raundi ya Pili dhidi ya Al Hilal mchezo unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 8, Uwanja wa…
DAKIKA 180 ambazo Simba imezitumia kwenye mechi za kirafiki Zanzibar zimewapa nguvu ya kupambana dhidi ya Dodoma Jiji. Leo kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kitatupa kete yake kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mgunda amesema kuwa mechi mbili ambazo wamecheza Zanzibar zinawapa nguvu kwa ajili…
IMESHATOKEA mwanzoni kabisa msimu wa 2022/23 wakati wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika Simba wakiwa kwenye maandalizi. Tukio ambalo kila kiongozi analishangaa kwa nini limetokea na kwa nini imekuwa hivyo wakati ambao hawakutarajia. Ni kweli kwa namna ilivyotokea lazima kila mmoja atapambana kuonyesha kwamba hakutarajia kuona inatokea ilihali ukweli unajulikana. Mkataba wao ambao…
KIUNGO wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia, Stephane Aziz KI anatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Nyota huyo hayupo kambini na wachezaji wengine ambao wanajiaandaa na mechi hizo kutokana na kuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Burkina Faso. Anatarajiwa kuripoti kambini siku ya…
Hauhitaji kuwa gwiji wa ubashiri kushinda beti! Watu wengi Duniani wamekuwa wakipenda kubashiri mechi mbalimbali na kujiweka katika nafasi ya kushinda pesa kubwa, ambazo wakati mwingine hubadilisha kabisa maisha yao. Lakini je ulishawahi kubashiri kwa kutumia kitochi au bila bando? Tunaweza kusema kwa simu ya batani, kwa kitochi, au kiswaswadu uukiwa huru bila kutumia Intaneti? …
USIKU kabisa Chelsea wakiwa ugenini wamepeleka maumivu kwa Crystal Palace kupitia kwa Conor Gallagger dakika ya 90. Bao hilo lilifanya ubao wa Uwanja wa Selhurst Park kusoma, Crystal Palace 1-2 Chelsea. Bao la mapema kwa Crystal Palace lilijazwa kimiani na Odsonne Edouard dakika ya 9 liliwekwa usawa na Pierre Emerick Aubameyang dakika ya 38. Chelsea…
VIJANA wa Brighton wameupiga mwingi kweli, wakiwa Uwanja wa Anfield kwa kuwapa tau Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu England. Dakika 90 ubao ulisoma Liverpool 3-3 Brighton huku nyota Leondro Trossard akitupia mabao matatu kwenye mchezo huo. Alianza dakika ya 4 mapema kabisa kisha akaongeza msumari wa pili dakika ya 17 na 83 ikiwa ni…
MASTAA watatu wa Simba kesho wanatarajia kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo licha ya hao wachezaji kukosekana
MOHAMED Muya, Kocha Msaidizi wa Dodoma Jiji amebainisha kuwa wapo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa
LONDON is red unaambiwa baada ya Arsenal kushinda mchezo wao wa Ligi Kuu England dhidi ya Spurs. Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Emirates ulikuwa ni wa ushindani mwanzo mwisho kwa timu zote kusaka ushindi. Bao la ufunguzi kwa Arsenal lilifungwa na Thomas Partey dakika ya 20 liliwekwa usawa na staa wa Spurs, Harry Kane dakika…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zote za kitaifa na kimataifa kutokana na uwepo wa wachezaji wenye uwezo. Mchezo ujao Yanga unatarajiwa kuchezwa Oktoba 3,2022 utakuwa wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting na kete yao inayofuata kimataifa itakuwa dhidi ya Al Hilal, Uwanja wa Mkapa,…
MOHAMED Hussein, nahodha msaidizi wa Simba amesema wapo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Dodoma Jiji. Huo ni mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku Uwanja wa Mkapa. Beki huyo amebainisha kwamba wanatambua ukubwa wa Dodoma Jiji kweye ushindani hivyo watajitahidi kutafuta ushindi. “Tupo tayari kwa ajili ya mchezo wetu…
KOCHA Mkuu wa Al Hilal, Ibenge ameshtuka kuhusu rekodi yake ya kushindwa kupata matokeo akiwa ardhi ya Tanzania jambo ambalo linamfanya ajipage kuikabili Yanga, Oktoba 8,2022 mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika
MICHEZO mitatu ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 itapangiwa tarehe mpya tofauti na ile ya awali ambayo imepangwa. Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) imeeleza kuwa imeamua kufanya hivyo kuzipa muda timu shiriki kimataifa kufanya maandalizi. Mechi hizo ilikuwa ni pamoja na ule mchezo wa Singida Big Stars dhidi ya…
MATHEO Anthony, mzawa anayekipiga ndani ya KMC akiwa na tuzo yake ya mchezaji bora wa mwezi ndani ya KMC kwa Septemba anatarajiwa kukutana na staa namba moja wa Namungo Relliats Lusajo. Lusajo yeye ana tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Agosti ndani ya ligi na ni namba moja kwa utupiaji akiwa na mabao matano msimu…
AZAM FC imeyeyusha pointi tatu kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23 kwa kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo huo wa ligi ulichezwa Uwanja wa Sokoine ambapo dakika 45 za mwanzo ngoma ilikuwa ngumu kwa timu zote mbili. Bao la ushindi lilifungwa na mshambuliaji Jeremia Juma ambaye alitumia pasi ya Ezikiel…