
IMEFICHUKA SABABU 4 ZAMNG’OA STRAIKA MZUNGU,YANGA YAMALIZA KAZI CAF
IMEFICHUKA sababu 4 zamng’oa staraika Mzungu Simba,Yanga yamaliza kazi mapema CAF, ndani ya Spoti Xtra Alhmaisi
IMEFICHUKA sababu 4 zamng’oa staraika Mzungu Simba,Yanga yamaliza kazi mapema CAF, ndani ya Spoti Xtra Alhmaisi
ANDRE Mtine Mtendaji Mpya wa Yanga ameweka wazi kuwa anaamini Yanga ni timu kubwa jambo ambalo limemfanya awe hapo na imani yake ni uona anaweza kufanya mambo makubwa kufikia malengo yaliyowekwa na timu hiyo
BONDIA nyota wa Tanzania, Ibrahim Class ametamba kumchapa mpinzani wake Gustavo Pina Melgar kutoka Mexico katika pambano la kimataifa lililopangwa kufanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City. Pambano hilo limeandaliwa na Kampuni ya MO Boxing, ikiwa ni mara ya kwanza kwa kampuni hiyo chini ya mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji. Class amesema kuwa baada ya kukaa nje…
MIPANGO ya ushindi kusukwa inaanza kwa wachezaji wale waliopo ndani ya uwanja na wale wanaokaa benchi kusoma mchezo unavyoendelea. Ndani ya ligi msimu wa 2022/23 wapo mastaa ambao wamekuwa wakali wakianzia benchi kwa kuwa walipoingia walifanikiwa kubadilisha namba kwenye ubao. Hapa tunakuletea baadhi ya nyota ambao wamekuwa na makali wakianzia benchi namna hii:- Feisal Salum…
HII hapa CV ya Mtendaji Mkuu wa Yanga ambaye ametambulishwa Septemba 27,2022 na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said
DEJAN Georgijevic maarufu kama Mzungu wa Simba amebainisha kuwa mkataba wake na mabosi hao umevunjika kutokana na makubaliano ya kimkataba. Nyota huyo kwa sasa yupo na kikosi hicho ambacho kimeweka kambi Zanzibar kwa ajili ya mechi za kirafiki mchezo wa kwanza walishinda bao 1-0 dhidi ya Malindi na leo wanatarajia kucheza dhidi ya Kipanga FC….
NAHODHA wa timu ya Taifa ya England, Harry Kane na beki Luke Shaw wameibuka na kumtetea mchezaji mwenzao, Harry Maguire. Beki huyo alifanya makosa mawili yaliyopelekea kufungwa mabao mawili kwenye mchezo uliochezwa Jumatano. England ililazimisha sare ya kufungana mabao 3-3 dhidi ya Ujerumani kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Wembley ukiwa ni wa Michuano ya Kimataifa…
RAIS wa Yanga Injinia Hersi Said ametoa ufafanuzi kuhusu usajili wa Wanachama na mashabiki huku akitaja changamoto ambazo zinawakabili kwenye zoezi hilo
KWENYE mchezo wa kirafiki dhidi ya Malindi uliochezwa Uwanja wa Amaan kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim aliweza kuonyesha uwezo wake kwa kuanza kikosi cha kwanza. Leo Septemba 28,2022 kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kina kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo mwingine dhidi ya Kipanga FC ndani ya dakika 90….
MGUNDA ashusha nondo Simba, Nabi anasa faili zima la Al Hilal, Ofisa Habari mpya Yanga kimeeleweka, ndani ya Championi Jumatano
RASMI Ally Kamwe ametambulishwa ndani ya Yanga kwenye idara ya Habari na Mawasiliano
PETER Banda na Nassoro Kapama wameibuliwa na Malindi FC kwenye mchezo wao wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kwenye mchezo huo uliochezwa juzi, ubao ulisoma Malindi0-1 Simba huku bao la ushindi likifungwa na Nassoro Kapama dakika ya 13. Bao hilo ni la kwanza kwa Kapama ambaye ameibuka ndani ya Simba akitokea Kagera Sugar na…
VIJANA wapya wa Yanga kazini Ally Kamwe na Privadinyo kwenye idara ya Habari na Mawasiliano wametambulishwa rasmi leo Septemba 27. Kamwe ni mchambuzi na mwandishi wa Habari za Michezo sawa na ilivyo kwa Privadiny ambao wote ni familia ya waandishi wa Habari. Pia Haji Mfikirwa yeye atakuwa kwenye kitengo cha fedha wakiwa pamoja na Mtendaji…
HAJI Mboto, shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa beki wa Simba Henock Inonga ikionekana ameitwa na Kamati ya Masaa 72 itawafanya waweze kuona kwambwa inaonyesha ameitwa na hilo litawafanya wachezaji wawe na hofu huku akibainisha kuwa waamuzi ni wanadamu wakikosea wanasemwa kwa kuwa wanakosea
MTAZAME Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari Simba, ‘Semaji la CAF’likifanya utalii wa ndani Zanzibar
MBOTO shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa utaalamu zaidi unafanyika ndani ya Yanga ikiwa ni pamoja na suala la Ofisa Habari huku akimtaja Ally Kamwe na amebanisha kuwa Yanga imekuwa ikifanya mazoezi yake Kigamboni na mechi za kirafiki zinachezwa kwa mujibu wa ratiba
MBOTO shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa Kocha Mgunda anapaswa kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa akifungwa kuna nyimbo huwa wanaimbiwa, amebainisha kuwa Juma Mgunda atafukuzwa tena na makofi kwa kuwa mashabiki wa Simba wameumbiwa hasira