
IBRA CLASS ASHINDA KWA K.O MBELE YA MMEXICO
BONDIA Mtanzania Ibra class amefanikiwa kumchapa bondia Alan Pina anayetoka Mexico kwenye Pambano la raundi 12. Pambano hilo lilikuwa na vuta nikuvute nyingi lakini halikuwa la ubingwa lililofanyika Mlimani City jijini Dar es salaam. Tangu Mwanzo wa pambano hilo Pina alionyesha upinzani mkali kwa Ibrahimu Class mpaka ilipofika raundi ya 9 na kumfanya Mtanzania huyo ashinde kwa…