CHAMA MGUU WAKE WA KULIA NI SHIDA TUPU

CLATOUS Chama kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji, pasi zake asilimia 88 alitumia kutoa kwa mguu wa kulia. Jumla nyota huyo alitoa pasi 87, alitumia mguu wa kushoto kutoa pasi 7 na ule wa kulia alitumia kutoa pasi 87. Mguu wake wa kulia una shida kubwa katika matumizi akiwa uwanjani kwa…

Read More

MASTAA WAWILI GEITA KUIKOSA POLISI TANZANIA

 KITASA wa kazi ndani ya Geita Gold, Kelvin Yondani anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi Polisi Tanzania. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Oktoba 4,2022, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Sababu kubwa ya kuukosa mchezo wa leo ni matatizo ya kifamilia ambayo anakabiliwa nayo. Mbali na Yondani pia staa mwingine Ibrahim Seleman…

Read More

YANGA YASEPA NA POINTI ZA RUVU SHOOTING

MZAWA Feisal Salum mali ya Yanga amefikisha jumla ya mabao matatu ndani ya kikosi hicho akiwa sawa na Fiston Mayele raia wa DR Congo. Bao la tatu Fei Tofo amefunga leo Oktoba 3,2022 kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa. Baada ya dakika 90 uao umesoma Ruvu Shooting 1-2 Yanga ambapo…

Read More

MERIDIANBET SLOTI, SASA KWENYE MADUKA YA MERIDIANBET

Najua ulikuwa unawaza ni wapi utaipata Kasino karibu yako, basi Meridianbet wamejibu kuhusu mawazo yako,mchongo uko hivi ukiwa na pesa yako unaweza kucheza Kasino kupitia mashine za Slot kwenye maduka ya Meridianbet yaliyopo mitaani, cha kufanya tembelea kwenye maduka hayo uweze kufurahia Kasino yenye bonasi kubwa. Kwenye maduka ya Meridianbet utakutana na mashine “Slots” za…

Read More

WAKUBWA NA WAONYESHE UKUBWA KIMATAIFA

JAMBO dogo likibadilika kwenye kitu lazima kila mmoja atakuwa na makasiriko kwenye moyo wake akiamini kwama anaonewa ama akiamini hakustahili kufanyiwa hilo. Ukweli ni kwamba kama hautakubali mabadiliko yatokee kwenye maisha wewe umekata tamaa na hatukati kuendelea kupambana na maisha. Pale inapotokea jambo jipya na geni kwako ni fursa ya kujifunza na kuamini akili yako…

Read More

RATIBA LIGI KUU BARA

MECHI za Ligi Kuu Bara leo Oktoba 3,2022 ikiwa ni msimu wa 2022/23 Coastal Union ya Tanga itamenyana na  Kagera Sugar saa 10:00 jioni. Ruvu Shooting v Yanga, saa 12:15 jioni Azam FC v Singida Big Stars, saa 2:15 usiku.

Read More

MOSES PHIRI ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA

MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora waMashabiki ndani ya mwezi Septemba. Ni mashabiki ambao walikuwa wanachagua kwa kupiga kura kupitia mitandao ya kijamii ambapo ni Phiri alikuwa ameingia fainali na Mzamiru Yassin pamoja na Clatous Chama kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans…

Read More

MBEYA CITY WAPINDUA MEZA KIBABE

LICHA ya kupata bao la kuongoza mapema kupitia kwa mzawa Nickosn Kibabage ilikuwa ngumu kwa Mtiwa Sugar kusepa na pointi tatu za Mbeya City. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Manungu Oktoba 2,2022 na bao ulisoma Mtibwa Sugar 2-2 Mbeya City. Kwa matokeo hayo Mbeya City ni wamepindua meza kibabe. Bao la mapema kwa Mtibwa Sugar…

Read More

SIMBA YAICHAPA TATU DODOMA JIJI NA KUSEPA NA POINTI TATU

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema ushindi ambao wameupata kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji umetokana na kazi kubwa ya wachezaji wakeo uwanjani. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 3-0 Dodoma Jiji na kuifanya timu hiyo kufikisha pointi 13 na kuongoza ligi. Bao la ufunguzi lilifungwa na Abdallah Shaibu,’Ninja’…

Read More

YANGA NI WAKALI KWENYE USHAMBULIAJI

YANGA wanaongoza kuwa na safu matata ya ushambuliaji wakiwa wamefunga mabao 9 kwenye mechi nne za ligi huku Simba wakiwa wamefunga mabao 8. Kwa Yanga ni Fiston Mayele na kwa Simba ni Moses Phiri wanaongoza kwa kufunga mabao mengi ambayo ni matatumatatu, yale ya kufungwa kwa Yanga ni mabao matatu na Simba wamefungwa mabao mawili….

Read More

KIUNGO MGUMU AMPA TABASAMU MGUNDA SIMBA

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kurejea kwa kiungo wake wa kazi Sadio Kanoute kwenye kikosi hicho kunaongeza uwanda mkubwa wa kuchagua viungo ambao anawahitaji. Kanoute raia wa Mali ambaye ni kiungo mgumu kwenye eneo la ukabaji sifa yake kuu ni kutembeza mikato ya kimyakimya alikosekana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania…

Read More