
HII HAPA REKODI ILIYOVUNJWA NA BOCCO
HII hapa rekodi iliyovunjwa na Bocco ndani ya Ligi Kuu Bara
HII hapa rekodi iliyovunjwa na Bocco ndani ya Ligi Kuu Bara
KUTOKA Afrika Senegal ilikwama kupata ushindi kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Dunia baada ya kupoteza mchezo wa kwanza. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Al Thumama ulisoma Senegal 0-2 Uholanzi ambao walisepa na pointi tatu mazima. Bila Sadio Mane kwenye mchezo huo dakika 45 za awali Senegal walipambana…
BAO la nahodha wa timu ya taifa ya Wales, Gareth Bale dakika ya 82 kwa mkwaju wa penalti lilitibua hesabu za ushindi kwa timu ya taifa ya Marekani. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Al Rayyan ni kipindi cha kwanza Marekani ilipata bao la mapema ambalo liliwapa uongozi. Dakika ya 36 staa wao Timothy Weah…
BAADA ya kucheza mechi 13 Geita Gold yenye Said Ntibanzokiza ambaye ni kiungo mshambuliaji imekusanya pointi 18. Kwenye msimamo ipo nafasi ya tano na ni mechi nne imeshinda imeambulia kichapo kwenye mechi tatu na sare kibindoni ni sita. Mchezo wao ujao ni dhidi ya Ihefu ambao unatarajiwa kuchezwa Novemba 25. Geita Gold watakuwa nyumbani pale…
Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Jumanne kutakuwa na mechi 4 za kundi C na D, Argentina vs Saudi Arabia, Mexico vs Poland, Denmark vs Tunisia, na France vs Australia. Kesho Jumatano kundi E na F, Germany vs Japani, Spain vs Costa, Morocco vs Croatia na Belgium vs Canada. Beti sasa…
Panga lapita na sita Yanga, kocha Muivory Coast atajwa Simba SC ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
KUELEKEA mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Yanga, benchi la ufundi la Yanga limeweka wazi kuwa kila kitu kipo sawa. Ni Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa namna ambavyo wanapata ushindi na kutopoteza mchezo morali na ari ya kupambana inaongezeka kutokana na mashabiki kushangilia. “Ni kitu…
MABAO 8 yamekusanywa leo kwenye mchezo wa Kombe la Dunia huko Qatar baada ya dakika 90 kukamilika. Ubao wa Uwanja wa taifa wa Khalifa umesoma England 6-2 Iran kwenye mchezo wa kundi B. Mabao ya Jude Bellingham dakika ya 35, Bukayo Saka dakika ya 43 na 62, Raheem Sterling dakika ya 45+1, Marcus Rashford dakika…
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Singida Big Stars ambaye aliibuka hapo akitokea Simba amekubali muziki wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi
WASEMA kweli nchi hii hawapendwi, ukweli mara nyingi unaumiza lakini ukiukubali ni dawa. Mjadala wa ubora, nani zaidi kati ya Chama na wewe unazidi kukua lakini kwangu naona umejawa ushabiki zaidi ya uhalisia. Watu wanakwita Zanzibar Finest lakini kama ni kiungo mchezeshaji wewe ni Tanzania Bara na Visiwani Finest…lakini tumtoe Chama. Mashabiki wake wanamuita Mwamba…
MZARAMO Simba atema cheche, ayazungumzia mabao ya Mayele
MOTO wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala hauzimi kwa kuwashusha waliokuwa namba Simba na sasa wao wapo juu. Baada ya ubao wa Uwanja wa Majaliwa kusoma Namuongo 0-1 Azam FC, pointi tatu wamesepa nazo jumlajumla. Inafikisha pointi 29 baada ya kucheza mechi 13 ndani ya ligi kwa msimu wa 2022/23 na Simba…
MWAMBA Enner Valencia ameandika rekodi yake ya kufunga mabao mawili kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Dunia. Wakati ubao wa Uwanja wa Al Bayt ukisoma Qatar 0-2 Ecuador ni Valencia alipachika mabao yote mawili ilikuwa dakika ya 16 kwa mkwaju wa penalti na dakika ya 31. Bao lake la dakika ya tatu lifutwa baada…
NINI unbeaten? Mgunda kiboko ya Nabi, Ongala, takwimu zake zinatisha, majembe manne Yanga kuikosa Dodoma Jiji, ndani ya Championi Jumatatu
Wikiendi hii Meridianbet imeshuhudia bingwa na mshindi wa simu mpya aina ya Samsung Z Flip 4, ambaye ameibuka kidedea katika promosheni ya 1 Click 2Phone iliyokuwa ikiendeshwa na Meridianbet. Ungependa kufahamu zaidi juu ya ushindi wake? soma hapa! Promosheni ya 1 Click 2 phone imedumu kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa wateja wapya waliojisajili…
SALEH Jembe atoboa siri Simba kumsajiri Manzoki,amtaja kocha mpya Simba, wachezaji wakuachwa Simba