YANGA KAMILI KUIKABILI RUVU SHOOTING KWA MKAPA

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting, Cedrick Kaze kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa mchezo huo. Kesho Yanga inatarajiwa kumenyana na Ruvu Shooting kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa. Cedrick amesema wanatamua utakuwa ni mchezo mgumu lakini wapo tayari ili kupata…

Read More

JEMBE JIPYA ARSENAL KUANZA KAZI LEO

JEMBE jipya ndani ya kikosi cha Arsenal, Leandro Trossard huenda akaanza leo kuonyesha makeke mchezo dhidi ya Manchester United. Ni miaka minne amesaini ndani ya timu hiyo akitokea Brighton ambayo nayo inashiki Ligi Kuu Engand. Nyota huyo amesema kuwa ni furaha kujiunga na timu hiyi hivyo atapambana kutimiza majukumu yake kwa umakini akishirikiana na wengine….

Read More

MASHINE MPYA SIMBA KUANZA NA DODOMA JIJI

JUMA Mgunda, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wachezaji wote ambao wamesajiliwa kweye dirisha dogo wapo tayari kwa ajili ya kutimiza majukumu ndani a timu hiyo. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Robert Oliviera kwenye dirisha dogo ni wachezaji watatu wapya imewasajili ambao ni Jean Baleke, Ismail Sawadogo na Mohamed Mussa. Jana walifanya mazoezi ya mwisho…

Read More

MTAMBO WA MABAO SIMBA KUIKOSA DODOMA JIJI

KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba, nyota wa timu hiyo Clatoous Chama hatakuwa sehemu ya kikosi. Chama ni namba moja kwenye kutengeneza pasi za mabao akiwa ametoa asi 12 na kufunga mabao matatu. Kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City nyota huyo alitoa pasi…

Read More

NYOTA HUYU WA DODOMA JIJI TARATIBU ANAKUJA

MIONGONI mwa vijana wanaokipiga ndani ya Dodoma Jiji kwa wakulima wa Zabibu ni pamoja na Zidane Omary Sereli. Nyota huyo kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar alianza benchi akisoma mchezo utakavyokuwa. Katika mchezo wa wa Januari 14 dhidi ya Geita Gold alianza kikosi cha kwanza. Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Nyankumbu, Geita Dodoma Jiji ilipoteza…

Read More

BONANZA SEKTA YA UCHUKUZI USHINDANI MKUBWA

NAIBU Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete alikuwa mgeni rasmi ambaye amezindua bonaza la Watumishi Sekta ua Uchukuzi. Bonanza hilo limefanyika leo Januari 21,2023 katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Mlimani, Dar. Michezo ya awali ilikuwa ni pamoja na kuvuta kamba, kukimbia kwenye magunia, mpira wa pete na mpira wa miguu pamoja…

Read More

MASHINE ZA KAZI YANGA KAMILI KWA RUVU

AZIZ Ki kiungo wa Yanga ni miongoni mwa mastaa ambao wameanza mazoezi kwa ajili ya mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Jumatatu, Uwanja wa Mkapa Januari 23,2023. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa wameweka kibindoni pointi 53 kwenye mechi 20 ambazo wamecheza wamepoteza mchezo mmoja pekee. Mbali…

Read More

WIKIENDI YENYE MECHI KUBWA NA KALI LIVERPOOL VS CHELSEA, ARSENAL VS MAN UTD, MAN CTY VS WOLVES, SERIE A KUTAWAKA MOTO NA LA LIGA NI BARCA NA REAL MADRID

Kila mtu huwa na sehemu anayoipenda Zaidi ambayo inampatia furaha kila siku, Chimbo lako ni moja tu kama ukitaka kubeti wikiendi hii jiunge na familia ya Meridianbet ushindi ni uhakika, kila mechi wanatoa Odds Bomba za Ushindi. Wikiendi hii ni ya moto mno usipime mtu wangu, utaelewa ni kwanini nakwambai ya moto ebu fikiria moto…

Read More

LILE PIRA DUBAI LA SAMBA LOKETO LILIPIGWA NA NYUNDO

ILIKUWA mwendo wa msako wa pointi tatu kwa timu zote mbili ambazo msimu wa 2022/23 zimekuwa zikionyeshana ubabe haswa ndani ya dakika 90. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliviera iliyotamba kuja na pira Samba Loketo liligongwa nyundo kinomanoma na Mbeya City inayonolewa na Adallah Mubinu. Mchezo wa fungua mwaka 2023 kwa Simba na mchezo…

Read More

YANGA YAIVUTIA KASI RUVU SHOOTING

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo awali ulitarajiwa kuchezwa Januari 21 lakini umepelekwa mbele mpaka Januari 23,2023 Uwanja wa Mkapa. Kamwe amebainisha kuwa wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu lakini wapo tayari kupata ushindi. “Moja ya…

Read More