
MKWANJA WA SIMBA KUTUMIKA KWA UMAKINI
MWENYEKITI wa Bodi ya Simba, Salim Muhene amesema kuwa udhamini ambao wamepata kwa timu ya vijana wenye thamani ya milioni 500 ni mkubwa na watatumia fedha hizo kwa umakini mkubwa. Machi 23Klabu ya Simba iliingia mkataba wenye thamani hiyo na Kampuni ya Mobiad Afrika katika Hotel ya Serena na viongozi wa pande zote mbili walikuwepo….