MWAMBA AJAZWA UPEPO SIMBA ATUMA UJUMBE KWA WAZAMBIA
KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewaambia washambuliaji wake wakiongozwa na Jean Baleke kutumia vyema kila nafasi watakayoipata ili wapate bao la mapema ndani ya dakika 10 kuwavuruga wapinzani wao Power Dynamos ya nchini Zambia. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana leo Jumapili saa 10 kamili jioni kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamanzi jijini Dar….