
HAPA NDIPO AZAM ITAANZIA KUFANYA KAZI
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa utafanya mchakato wa kuboresha benchi la ufundi kwa kuanza na kumleta kocha mpya wa makipa. Azam FC imeshuhudia mabingwa wa msimu wa 2022/23 kwenye ligi wakiwa ni Yanga chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi. Kwenye mechi ambazo walikutana na Yanga ndani ya ligi walipata sare moja na kupoteza…