
SIMBA MACHO YOTE KWA IHEFU
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa yaliyotoea Morocco yote ni somo kwao na sasa macho yao ni kwenye mchezo wao dhidi ya Ihefu ambao ni wa robo fainali Azam Sports Federation. Simba imetoka kufunga kete ya sita hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mohamed V ukisoma Raja Casablanca 3-1…