SIMBA KUWAKABILI IHEFU KWA TAHADHARI
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utawakabili wapinzani wao Ihefu kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali kwa tahadhari kubwa ili kupata matokeo mazuri. Simba inatarajiwa kutupa kete yake leo mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex mshindi wa mchezo atakutana na Azam FC hatua ya nusu fainali. Azam FC iliibuka na ushindi wa mabao…