
ALLY NYOTA WA MCHEZAO, ULINZI TATIZO SIMBA
KWENYE mchezo dhidi ya Ihefu mchezaji bora kwa upande wa Simba alikuwa ni Ally Salim na hii inatokana na makosa ya safu ya ulinzi ya Simba yaliyokuwa yakifanywa kila dakika. Salim ikiwa ni mchezo wake wa kwanza kayeyusha dakika 90 bila kutunguliwa akiokoa hatari ngumu ikiwa ni dakika ya 5,6,10,15 zote kutoka kwa washambuliaji wa…