KIPA SIMBA AWEKA REKODI YAKE MATATA

ALLY Salim kipa namba tatu wa Simba amekiwasha ndani ya dakika 90 ikiwa ni mchezo wake wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara akifanikiwa kusepa na dakika 90 bila kutunguliwa. Salim hakuwa chaguo la kwanza ndani ya Simba ambapo chaguo la kwanza ni Aishi Manula na namba tatu ni Beno Kakolanya. Salim hata msimu wa…

Read More

Wiki ya Mabingwa Odds kubwa Meridianbet

Hatua ya Robo fainali ya UCL itaanza leo tena kwenye viwanja tofauti Ulaya, ni mechi mbili Man City vs Bayern Munich na Benfica Vs Inter Milan. Meridianbet inakuhakikishia unapata Odds kubwa na machaguo Zaidi ya 1000+ Tembelea www.meridianbet.co.tz kubashiri soka na kucheza kasino ya mtandaoni. Odds kubwa za Jumanne ya Mabingwa Ni vita vya mbinu…

Read More

VINARA WA LIGI KUFANYIWA MAZOEZI MAALUMU

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wachezaji wao wote wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Aprili 16 huku wachezaji wote wakiwa fiti. Miongoni mwa wachezaji wa Simba ambao hawakuwa fiti hivi karibuni ni Shomari Kapombe aliyepata maumivu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa…

Read More

HALI NI NGUMU KWELIKWELI TIMU ZIPAMBANE

KAZI ni ngumu wa kweli kwa sasa kutokana na ligi kuwa karibu na mwisho huku kila timu ikizidi kupambana kusaka ushndi ndani ya dakika 90. Hakika mwendelezo wa baadhi ya timu kwenye uwanja sio mzuri kutokana na matokeo ambayo wanayapata kuwa hayana a furaha kwao. Licha ya hayo kutokea ni muhimu kuzidi kuwa na mipango…

Read More

IHEFU FUPA GUMU KWA SIMBA

KLABU ya Ihefu yenye maskani yake Mbeya ndani ya dakika 270 katika mechi tatu tofauti imekwama kusepa na ushindi mbele ya Simba. Ilikuwa katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambapo ubao ulisoma Simba 1-0 Ihefu katika mchezo wa mzunguko wa pili ubao ulisoma Ihefu 2-0 Simba Uwanja wa Highland Estate. Katika msako wa…

Read More

KARIAKOO DABI INAHITAJI UMAKINI KWA WOTE

WIKIENDI hii shughuli zote za michezo zitasimama kupisha dakika tisini za machozi, jasho na damu ambapo wababe wa soka la Tanzania Simba na Yanga watashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mchezo ambao umebeba mambo mengi kuanzia ndani na nje ya uwanja. Ni mchezo ambao umebeba historia kubwa kwa watani hawa ambapo ni bora timu ikose…

Read More

YANGA YASHUSHA 5 G

HUU ni ushindi mkubwa kwa Yanga kwa msimu wa 2022/23 dhidi ya Kagera Sugar wakisepa na pointi tatu mazima. Ubao wa Uwanja wa Azam Complex umesoma Yanga 5-0 Kagera Sugar baada ya dakika 90 kukamilika. Aziz KI kasepa na mpira wake kwa kuwa amefunga mabao matatu, mawili kwa penalti dakika ya 43 na 90 huku…

Read More

YANGA 2-0 KAGERA SUGAR

UBAO wa Azam Complex unasoma Yanga 2-0 Kagera Sugar ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Yanga wamepachika mabao hayo kupitia kwa kiungo mshambuliaji Aziz KI ambaye amekuwa kwenye ubora wake. Lile bao la kwanza ni dakika ya 43 baada ya Fiston Mayele kuchezewa faulo na llle la pili shuti akiwa nje ya 18 dakika…

Read More