SportsVIDEO: JKT TANZANIA HESABU ZIKIFANYA KAZI SAWASAWA HAO KIMATAIFA Saleh12 months ago01 mins UONGOZI wa JKT Tanzania umeweka wazi kuwa ikiwa hesabu zitafanya kazi sawasawa wananafasi kubwa kucheza mashindano ya kimataifa kwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi ya nusu fainali CRDB Federation Cup dhidi ya Yanga SC. Post navigation Previous: MERIDIANBET YAZINDUA MCHEZO MPYA WA KUSISIMUA: GATES OF OLYMPIANext: ORODHA YA VINARA KWENYE UTUPIAJI LIGI KUU BARA