BEKI LA KAZI LIPOLIPO SANA YANGA

MZAWA Dickosn Job beki wa kazi ngumu bado yupo ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kuongeza dili jipya la kuendelea kuitumikia timu hiyo. Awali kulikuwa na mvutano mkubwa kwenye upande wa maslahi jambo lililofanya asubiri kwanza kusaini mkataba mpya. Alikuwa anatajwa kuingia rada za mabosi wa Dar, Azam FC ambao walikuwa wanahitaji saini yake….

Read More

HUYU HAPA MWAMUZI MECHI YA SIMBA V YANGA

JONESIA Rukya ametangazwa kuwa mwamuzi wa kati mchezo wa Ligi Kuu Bara Kati ya Simba v Yanga unaotarajiwa kuchezwa kesho Aprili 16, Uwanja wa Mkapa. Huo ni mchezo wa mzunguko wa pili unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa Kwa timu zote mbili kusaka ushindi. Jonesia kutoka Kagera atashirikiana na Mohamed Mkono ambaye atakuwa line 1, Janeth…

Read More

PAMPA WAZITAKA POINTI ZA MASHUJAA

KOCHA Mkuu wa Pamba, Yusuph Chippo amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Championship dhidi ya Mashujaa FC  unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Nyamagana. Pamba ya Mwanza ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo ikiwa na pointi 48 baada ya kucheza mechi 23 inakutana na Mashujaa iliyo nafasi ya 4 na pointi 41. Tippo amesema:“Tunamshukuru…

Read More

SIMBA WAIFUNGIA KAZI YANGA, WAWEKA MKWANJA WA MAANA

Mabosi wa Simba wameamua kuifungia kazi Yanga inayonolewa na Kocha, Nasreddine Nabi kwani wamesema hawataki chochote zaidi ya ushindi katika Kariakoo Dabi. Kutokana na jambo hilo tayari wameandaa bonasi ya kutosha ya zaidi ya Sh 300 Mil kwa wachezaji ili kufanikisha ushindi Jumapili. Katika mchezo huo, Simba wataingia wakiwa na hasira ya kufungwa mara mbili…

Read More

BEKI HUYU YANGA KUIKOSA DABI KWA MKAPA

BEKI wa Yanga, Mamadou Doumbia raia wa Mali hatakuwa sehemu ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa kesho. Sababu kubwa za beki hilo ambalo lilichomolewa kwenye mashindano ya ndani maarufu kama Chan akiwa na timu ya taifa ya Mali ni kutangulia mbele za haki kwa baba yake mzazi. Taarifa rasmi iliyotolewa…

Read More

MPIRA ULIANZIA WAPI? PESA ZINATOKA WAPI?

Historia ya mpira wa miguu ilikuwepo tangu karne ya 15C, lakini ilisambaa Zaidi karne ya 19C huko Uingereza ambapo mpira wa miguu ulikuwa unachezwa mjini na baadae ukahamishiwa kuchezwa kwenye shule za umma. Mwaka 1865 Uingereza waliamua kuurasmisha mchezo huu pendwa na kuunda Chama cha Soka (FA) kitakachokuwa kinasimamia kanuni na sharia za mpira. Baada…

Read More

JULIO AKABIDHIWA WANA KINO BOYS

JAMHURI Kihwelo,’Julio’ atakuwa ndani ya KMC kwenye mechi nne ambazo zimebaki msimu wa 2022/23. Ni Hitimana Thiery alikuwa anakiogoza kikosi hicho mkataba wake umevunjwa baada ya makubaliano ya pande zote. Yote hayo yalifanyika Aprili 13,2023 ambapo tayari Julio ametambulishwa kwa ajili ya kuwanoa Wanakino Boys. Mchezo wa mwisho Hitimana kukiongoza kikosi cha KMC alishuhudia ubao…

Read More

NABI KAKIMBIZA DAKIKA 990

Novemba 29,2022 ubao wa Uwanja wa Highland Estate ulisoma Ihefu 2-1 Yanga ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu hiyo kupoteza pointi tatu ndani ya ligi wakivunjiwa rekodi ya kucheza mechi 49 za ligi bila kufungwa na kutibua mpango wa kufikisha mechi 50 ndani ya ligi. Baada ya hapo Yanga imecheza mechi 11 bila kupoteza…

Read More

WAKALI WA PASI ZA MWISHO BONGO HAWA HAPA

KATIKA orodha ya mastaa wenye pasi nyingi za mabao kiungo wa Simba, Clatous Chama ni namba moja akiwa nazo 14 kibindoni. Moja kati ya pasi hizo alitoa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya watani wa jadi Yanga, mzunguko wa kwanza Oktoba 23,2022. Kwenye mchezo huo ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 1-1…

Read More