Home Sports HUYU HAPA MWAMUZI MECHI YA SIMBA V YANGA

HUYU HAPA MWAMUZI MECHI YA SIMBA V YANGA

JONESIA Rukya ametangazwa kuwa mwamuzi wa kati mchezo wa Ligi Kuu Bara Kati ya Simba v Yanga unaotarajiwa kuchezwa kesho Aprili 16, Uwanja wa Mkapa.

Huo ni mchezo wa mzunguko wa pili unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa Kwa timu zote mbili kusaka ushindi.

Jonesia kutoka Kagera atashirikiana na Mohamed Mkono ambaye atakuwa line 1, Janeth Balama line 2 huku Tatu Malongo kutoka Tanga akiwa ni mwamuzi msaidizi.

Karim Boimanda huyu atakuwa katika kitengo cha usimamizi kwa Waandishi wa Habari.

Previous articleMIPIRA NA JEZI IMETOLEWA NA MERIDIANBET KWAAJILI YA WANAWAKE
Next articleKWA MUZIKI HUU,LITAKUFA JITU