
MAYELE AMPA MAMILIONI KIPA SIMBA
Mayele ampa mamilioni kipa Simba ñdani ya Spoti Xtra Jumanne
Mayele ampa mamilioni kipa Simba ñdani ya Spoti Xtra Jumanne
ULIONA alichofanya Inonga alichofanya kwa Yanga Uwanja wa Mkapa?
JEMBE amchambua Mzamiru Yassin, Onyango na ubora wake ndani ya uwanja
Wahenga waliwahi kusema Usiku wa deni hauchelewi, ni sasa kule kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kitaeleweka nani mbambe dhidi ya mwenzake, raundi ya pili hatua ya robo fainali, Katika dimba la Stamford Bridge Chelsea vs Madrid, Napoli vs AC Milan, Bayern vs Man City. Kamata odds kubwa na machaguo mengi kutoka Meridianbet ukibashiri mechi hizi….
HAIWEZI kuwa kazi nyepesi kwa kuwa lazima mapambano yawe makubwa katika kufanya hilo jambo ambalo unalihitaji kwa wakati. Kila mmoja kwenye Ligi Kuu Bara kwa sasa anapambana kuweza kufikia malengo ambayo alianza nayo mwanzo wa msimu wa 2022/23 ambao unakaribia kugota mwisho. Hakika ni moja ya msimu wenye ushindani mkubwa na kila timu inafanya vizuri…
SIMBA yaomba radhi kwa ushindi dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa
MWIJAKU na Privadinho Uwanja wa Mkapa katika dakika 45 kila mmoja alikuwa akivutia kwake ambapo Baba Levo aliamini Yanga wangepindua meza kibabe mwisho ubao ulisoma Simba 2-0 Yanga
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa waterejea kwenye mechi zilizobaki wakiwa imara kwa kupata matokeo chanya. Timu hiyo haina bahati dhidi ya Yanga msimu huu wa 2022/23 kwa kufungwa nje ndani mchezo wa kwanza ilitunguliwa bao 0-1 na ule mzunguko wa pili ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Yanga 5-0 Kagera…
NYOTA wa Azam FC, Idd Suleiman, ‘Nado’ ni mkali wa kucheka na nyavu kwenye mechi za ligi akitokea benchi. Nyota huyo rekodi zinaonyesha kuwa ameanza kikosi cha kwanza mechi nne ilikuwa dhidi ya Ruvu Shooting,Dodoma Jiji,Mbeya City na KMC. Kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union,Novemba 27,2022 ubao wa Azam Complex uliposoma Azam FC 3-2 Coastal…
ALLY Salim kipa namba tatu wa Simba mchezo wake wa kwanza akiwa langoni dhidi ya Yanga amefanikiwa kukamilisha dakika 90 bila kufungwa. Bado anajitafuta kutokana na makosa mengi ya kiufundi hasa kwenye kuokoa na kutema hapo ndipo panamfanya awe kwenye kazi ngumu ya kufanya. Ally amesababisha kona nne kwenye mchezo dhidi ya Yanga kutokana na…
SIMBA imepata ushindi mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Kariakoo ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mabao ya Simba yamefungwa na Henock Inonga dakika ya kwanza na lile la pili Kibu Dennis dakika ya 33. Yanga wanapiga pasi nyingi kuliskama lango la Simba huku wakifanya majaribio kupitia kwa Fiston Mayele. Kipindi cha pili Yanga…
KOCHA Mkuu wa KMC,Jamhuri Khiwelu, ‘Julio’ amesema kuwa ana matumaini makubwa ya kuongeza ari kwenye mechi ambazo zimebaki. Julio amechukua mikoba ya Hitimana Thiery ambaye alifikia makubaliano ya kuvunja mkataba na timu hiyo kutokana na mwendo mbovu. Mchezo wa mwisho kwa Hitimana kukaa benchi alishuhudia ubao ukisoma KMC 0-2 Geita Gold. “KMC ni timu nzuri…
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa ni Kariakoo Dabi Ubao unasoma Simba 2-0 Yanga, goal limepachikwa na Henock Inonga dakika ya kwanza na lile la pili Kibu Dennis kapachika dakika ya 33. Mwamuzi wa kati ni Jonesia Rukya ambaye anafanya kazi ya kutafsri sheria 17 za mpira na mashabiki wamejitokeza kwa wingi.
WAKIWA wamecheza mechi 25 ambazo ni dakika 2,250 watani wa jadi Simba na Yanga kila mmoja kajijengea ufalme wake katika eneo lake maalumu. Leo Aprili 16,Uwanja wa Mkapa utashuhudia kila timu ikipambania ufalme wake kwenye upande wa ushambuliaji pamoja na ulinzi ndani ya dakika 90. Simba uimara wao upo kwenye safu ya ushambuliaji huku makali…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amemkimbiza kinomanoma Roberto Oliveira raia wa Brazil kwenye upande wa kusepa na pointi tatu muhimu ndani ya dakika 450. Katika mechi tano za hivi karibuni Yanga haikuwa na namna ilisepa na pointi zote 15 ilizokuwa inasaka huku Oliveira akikwama kufanikisha jambo hilo. Simba kwenye msako wa pointi 15 imegotea…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa Mkapa watamuona Clatous Chama waliyemzoea kwenye mechi za kimataifa. Chama amekuwa akipeta kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa akiwa na hat trick moja dhidi ya Horoya alipofunga mabao matatu lakini hajawahi kuwatungua watani zao wa…