
Shangwe Kubwa La Bodaboda Lasababishwa Na Meridianbet
Shangwe shangwe shangwe tu katika baadhi ya mitaa ya jiji la Dar es salaam baada ya bodaboda kufikiwa na Meridianbet na kupatiwa reflectors ambazo zitawasaidia wanapoendesha pikipiki nyakati zote lakini pia kwa kushirikiana na Polisi wa usalama barabarani wameweza kufanikisha zoezi hilo. Zoezi hilo limekuja kwa kusindikizwa na kampeni ya kuvutia kabisa inayoitwa “Mtaa kwa mtaa” inayolenga…