Home Sports RIVERS UNITED 0-0 YANGA

RIVERS UNITED 0-0 YANGA

UBAO wa Uwanja wa Godswill Akpabio huko Nigeria unasoma Rivers United 0-0 Yanga ikiwa ni dakika 45 za awali.

Yanga inaliandama lango la wapinzani wao katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wakimtumia Fisto Mayele na Aziz KI.

Mashuti 6 Yanga wamepiga matatu yamelenga lango huku Rivers wakiwa wamepiga mashuti 7 hakuna hata moja lililolenga lango.

Ni mchezo wa hatua ya robo fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika.

Previous articleAZAM FC YAISHUSHA SINGIDA BIG STARS
Next articleFAILI LA KIUNGO MGHANA MIKONONI MWA KOCHA SIMBA