Home Sports AZAM FC YAISHUSHA SINGIDA BIG STARS

AZAM FC YAISHUSHA SINGIDA BIG STARS

USHINDI waliopata dhidi ya Ruvu Shooting unawapeleka nafasi ya tatu kwenye msimamo 53.

Ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro ulisoma Ruvu Shooting 1-3 Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Aprili 22,2023.

Ruvu wanagotea nafasi ya 16 wana pointi zao 20 wamecheza wote mechi 27.

Azam FC wanaishusha Singida Big Stars kwenye nafasi ya tatu wakiwa wana pointi zao 51 kibindoni.

Timu hiyo inayotumia Uwanja wa Liti kwa mechi za nyumbani imecheza mechi 26 ikiwa na mchezo mmoja kugotea namba za Azam FC.

Previous articleKIKOSI CHA YANGA DHIDI YA RIVERS UNITED
Next articleRIVERS UNITED 0-0 YANGA