SportsPOLISI TANZANIA YAPANDA NAFASI MOJA Saleh3 years ago01 mins USHINDI ambao wameupata Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu umewaondoa kutoka nafasi ya 16 mpaka 15. Katika mchezo uliochezwa Aprili 21 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Polisi Tanzania 2-1 Ihefu. Mabao ya Ihefu yalifungwa na Kelvin Sabato huku lile la Ihefu likifungwa na Adam Adam. Ushindi huo unaifanya Polisi Tanzania kufikisha jumla ya pointi 22 baada ya kucheza mechi 27 huku Ruvu Shooting ikiwa na pointi 20. Sasa ni Ruvu Shooting ya Kibaha ipo nafasi ya 16 na pointi 20 leo ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Jamhuri,Moro. Post navigation Previous: SIMBA 1-0 WYDAD CASABLANCANext: SIMBA YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA WYDAD
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura Je Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Itakuwa Brazil vs Hispania? Saleh2 days ago 0