
SIMBA NDANI YA MBEYA KUIKABILI IHEFU
KIKOSI cha Simba kimewasili Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate Mbeya Jumatatu, Aprili 9,2023. Simba imetoka kupata ushindi wa mabao 5-1 Ihefu kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali na kutinga nusu fainali. Mchezo huo wa ligi utakuwa na ushindani mkubwa…