
SIMBA YATINGA HATUA YA MAKUNDI, KOCHA AWAKA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba wanatinga hatua ya makundi wakiwa hawana furaha mashabiki, huku Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akiweka wazi kuwa umakini kwenye umaliziaji nafasi uliwaponza. Simba wanatinga hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla ya mabao 3-3 faida ya mabao ya ugenini kwa kuwa mchezo wa kwanza ubao ulisoma Power Dynamos…