
HAWA HAPA WACHEZAJI STARS KUIFUATA SUDAN,KIKOSI KAMILI
WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo wameianza safari kuelekea Saudi Arabia kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Sudan. Chini ya Kocha Mkuu, Adel Amrouche Stars inatarajia kutupa kete yake Oktoba 15,2023. Miongoni mwa wachezaji waliopo kàtika msafara huo ni Bakari Mwamnyeto, Beno Kakolanya, Metacha Mnata, Ally Salim, Israel Patrick…