
MBINU ZA KOCHA HUYU KUANZA KUTUMIKA SINGIDA
NI Ricardo Ferreira kutoka nchini Brazil mbinu zake zitaanza kutumika ndani ya kikosi cha Singida Fountain Gate kwenye kusaka ushindi. Mkataba wake ni wa mwaka mmoja kuwanoa mastaa wa Singida Fountain Gate inayoshiriki Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Meddie Kagere, Beno Kakolanya, Bruno Gomes. Yupo na msaidizi wake ambaye ni Andrew Barbosa hawa…