
MTIBWA SUGAR MAMBO BADO MAGUMU
MTIBWA Sugar ikiwa Uwanja wa Manungu imeshuhudia Oktoba 19,2023 ubao ukisoma Mtibwa Sugar 0-2 Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ni Sugar Dabi. Mambo ni magumu kwa timu hiyo kutokana na mwendo wake kuwa ni wa kusuasua msimu mpya wa 2023/24 kwenye mechi za mwanzo. Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa kwa awamu…