
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AL AHLY
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira leo kina kazi ya kusaka ushindi mchezo wa robo fainali African Football League. Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:- Ally Salim Shomari Kapombe Mohamed Hussein Henock Inonga Che Malone Sadio Kanoute Fabrince Ngoma Kibu Dennis John Bocco Saido Ntibanzokiza Clatous Chama