
SIMBA NDANI YA DAR WAKITOKA KUPAMBANA NA WAARABU
MSAFARA wa Simba uliokuwa na jumla ya wachezaji 24 umewasili salama Dar ukitokea Misri ulipokuwa kwa ajili ya mchezo wa African Football League. Ni mapambano ya dakika 90 dhidi ya Waarabu wa Misri ilikuwa kwenye mchezo wa kuamua nani atakayetinga hatua ya nusu fainali kimataifa. Oktoba 24, ubao ulisoma Al Ahly 1-1 Simba. Kwenye hatua…