
HIKI NDICHO ANACHOFIKIRIA NZENGELI WA YANGA
MAXI Nzengeli kiungo wa Yanga amesema furaha yake kubwa kufunga ni kwa ajili ya mashabiki. Kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Singida Fountain Gate uliochezwa Uwanja wa Mkapa alitupia mabao mawili yaliyoipa pointi tatu Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi. Mchezo unaofuata kwa Yanga ni dhidi ya Simba unatarajiwa kuchezwa Novemba 5 2023 ikiwa…