
MERIDIANBET YATOA SAPOTI YA MICHEZO KIJITONYAMA
Meridianbet kama ilivyo kawaida yao kuhakikisha wanatoa msaada kwa jamii yake inayowazunguka na awamu hii wamefika Kijitonyama mtaa wa Ali Maua B na kutoa msaada wa vifaaa vya michezo kwa timu inayopatikana katika eneo hilo. Wanufaika wa msaada wa Meridianbet wakati huu ni timu ya mpira wa miguu inayofahamika kama Magic Power ambayo imepokea vifaa…