Home Sports UWANJA WA MKAPA : YANGA 2-0 SINGIDA FOUNTAIN GATE

UWANJA WA MKAPA : YANGA 2-0 SINGIDA FOUNTAIN GATE

MAXI Nzengeli nyota wa Yanga katupia kamba mbili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate.

Ni mchezo wa ligi ikiwa ni mzunguko wa 7 kwa msimu wa 2023/24.

Chuma cha kwanza ilikuwa dakika ya 30 na kile cha pili dakika ya 38.

Singida Fountain Gate kwenye eneo la ushambuliaji wanakutana na ukuta unaoongozwa na Bakari Nondo.

Mpaka kipindi cha pili dakika 90 zinakamilika ubao umesoma Yanga 2-0 Singida Fountain Gate.

Previous articleJESHI LA YANGA HILI HAPA DHIDI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE
Next articleYANGA WAKOMBA POINTI ZA SINGIDA FOUNTAIN GATE