
NYOTA YANGA MWIBA MKALI, KAZI KIMATAIFA INAENDELEA
KIUNGO wa Yanga Pacome Zouzoua amekuwa ni mwiba mkali kwa wapinzani kutokana na uwezo wake anaoonyesha ndani ya uwanja katika mechi za kimataifa. Ikumbukwe kwamba Desemba 8 Yanga iligawana pointi mojamoja na Klabu ya Medeama kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ambapo bao la Yanga lilifungwa na kiungo Pacome. Hilo linakuwa…